MLONGE WA MAAJABU

MLONGE WA MAAJABU

Tuesday, 26 January 2021

FAIDA ZA MBEGU ZA MLONGE (UNGA WA MBEGU ZA MLONGE)







Mbegu za mlonge hupatikana kwenye mti wa mlonge, hutumika pale mbegu zinapokomaa 


vilevile kuna baadhi ya jamii bara la Asia hutumia mbegu za mlonge mbichi kama chakula. nimewahi kuzungumzia faida za majani ya mti huu wa ajabu kwa kirefu sana kuwa una virutubisho vingi kama

  • Mlonge una protini mara 2 ya Yogurt 
  • Mlonge una vitamin A mara 4 ya Karoti
  • Mlonge una potassium mara 3 ya Ndizi
  • Mlonge una calcium mara 4 ya Maziwa
  • Mlonge una vitamin C mara 7 ya Chungwa

Hivyo ni virurubisho vipatikanavyo kwenye majani ya mlonge nimeelezea faida zake kwa upana sana kwenye post iliyopita ila LEO nataka tuzungumzie faida za mbegu za mlonge hasahasa kwenye unga wake sababu saa nyingine inawapa ugumu watu kutafuna mbegu hizo lakini sisi tumezisaga vizuri na kuwa kwenye mfumo wa unga.

FAIDA ZA 10 ZA UNGA WA MBEGU ZA MLONGE

         1.Utajiri mkubwa wa madini chuma(Iron)

Madini chuma ni madini muhimu sana katika uzalishaji wa damu mwilini na vilevile madini haya husaidia usafirishaji wa damu kwenda kwenye mifupa, viungo na organ mbalimbali za mwili. Mbegu za mlonge zina madini chuma mara 3 ya mboga za majani(spinach), ukosefu wa madini haya huleta tatizo la uchovu kupita kiasi na kupumua kwa shida





       2. Huondoa na kuua seli za kansa mwilini

Mbegu za mlonge hujulika kitaamu kama anti-carcinogenic ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuzuia ukuaji wa vimelea vya kansa mwilini.




      3. Hutibu pumu ( Asthma)
Watafiti wa tiba za kisayansi wamethibitisha kuwa mbbegu za mlonge hutibu tatizo la pumu kabisa zikitumiwa mara kwa mara.





      4. Huboresha afya ya moyo
Mbegu za mlonge huufanya moyo wa mwanadamu kuwa thabiti na kukuepusha na magonjwa ya moyo kwakuzilinda tishu za moyo na kuondoa mafuta pembezoni mwa moyo, vilevile ni zuri sana kwa watu wenye matatizo ya presha za kupanda na kushuka.

    5. Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini

Watafiti wa afya wamebaini mbegu za mlonge husawazisha kiwango cha sukari mwilini kwasasabu mbegu hizi zina kiwango kikubwa cha madini ya Zinc ambayo hurekebisha kiwango cha sukari mwilini na kuondoka kabisa ugonjwa wa kisukari (diabetes). tumia unga mbegu za mlonge kila siku hata kama huna tatizo la kisukari ili kujiweka katika nafasi ya kutokupata ugonjwa wa  kisukari kabisa.





     6. Huondoa maumivu ya maungio ya viungo( Joint pain)

Mbegu za mlonge zina utajiri mkubwa sana wa madini ya Calcium mara 4 ya maziwa, ukosefu wa madini haya mwilini husabisha tatizo la kuumwa kwa maungio ya mwili (Joint pain) pamoja na mifupa kuuma, ukosefu wa madini haya husababisha mifupa kuwa dhaifu (bone disorder) na maumivu makali sana ya mgongo





     7. Upatikanaji mkubwa wa nyuzinyuzi (Higher in fiber)

Mbegu za mlonge zina utajiri mkubwa nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia katika mmengenyo wa chakula na kuepusha matatizo kama tezi dume na bawasiri 



   8. Huondoa mafuta mabaya mwilini (cholesterol)

Mbegu za mlonge huondoa mafuta mwilini na kupunguza uzito wa mwili kwa kiasi kikubwa sana, kula kijiko kimoja kidogo cha chai kila asubuhi kila siku utaona matokeo yake mapema sana


 9. Mbegu za mlonge huondoa sumu mwilini (antioxidants)

Wanasayansi wa tiba za binadamu wamethibitisha mbegu za mlonge kwa kiasi kikubwa huondoa sumu mwilini kutokana na mbegu hizi kuwa na Vitamins A, B-complex na C na virutubisho vingine vingi ambavyo kwa pamoja huondoa sumu mwilini kwa binadamu

 10. Huimarisha  na kukinga afya ya ngozi

Mbegu za mlonge zina mafuta ambayo husaidia katika utunzaji wa ngozi na kukukinga dhidi ya maradhi ya ngozi 


Hizo ni faida za Mbegu za mlonge katika maisha yetu ya kila siku,Unga wa mbegu za mlonge unapatikana kwa Dar es Salaam na pia mkoani tunatuma

Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba

0788 709 506

Tuesday, 10 January 2017

FAIDA ZA UNGA WA MAJANI YA MLONGE


kama kuna mti wenye faida nyingi
 za kiafya,basi Mlonge/Mlongo/Mronge,mrongo/
mkimbo au mzunze au mzunze kwa kiingereza
 unaitwa moringa oleifera 
VIRUTUBISHO KATIKA UNGA WA MLONGE:

*Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe
*Potasiamu mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi➤
*Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
*Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
*Una Klorofili (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
*Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
*Una vitamini A mpaka Z,
*Una Omega 3, 6, na 9
*Una asidi amino zile mhimu zaidi zinazohitajika na mwili
*Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini mhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla




MLONGE NDICHO CHAKULA CHENYE AFYA ZAIDI KULIKO CHAKULA KINGINE CHOCHOTE JUU YA ARDHI

Mlonge una jumla ya virutubishi 92, mmea au mti mwingine wenye virutubishi vingi baada ya mlonge una virutubishi 28. Mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino mhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.

FAIDA ZA UNGA WA MLONGE(MORINGA OLEIFERA)

1. Huko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu Kisukari
2. Huko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Unasafisha ini (hepatic detoxification),
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoa doa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu,
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,
47. Unatibu homa ya manjano (jaundice),
48. Unatibu malaria
49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo
50. Unasidia pia kujenga na kuimarisha misuli
51. Unatibu magonjwa ya mifupa
Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele. Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.

    JINSI YA KUTUMIA UNGA WA MLONGE
1.unga wa mlonge hunyunyiziwa kwenye chakula kwa kijiko kimoja cha mezani
2.unga wa mlonge vilevile huwekwa kwenye vinywaji kama chai,juice,maziwa fresh au maji ya kunywa kwa kutumia kijiko kimoja cha mezani
3.unga wa mlonge hujachanganywa mapishi kama kiungo kwasababu huleta ladha nzuri ya chakula,moto mkali huondoa virutubisho vya mlonge
ANGALIZO:usizidishe kipimo cha matumizi

MLONGE UNATOA WAPI MAAJABU YOTE HAYA?
Matatizo mengi ya kiafya ni matokeo ya lishe yenye viinilishe duni au hafifu jambo linalopelekea kuwa na kinga ya mwili isiyo na nguvu kupigana na magonjwa mbalimbali. Unaporekebisha usawa huo usio sawa wa kinga yako ya mwili kwa kutumia mimea na lishe zingine mhimu za asili hutakawia kuona matokeo mazuri kwenye afya yako.
Uwezo wa mti wa mlonge kuyaweza yote hayo ni kutokana na kuwa na vitamini, madini mbalimbali na viondowaji sumu vingi kuliko mmea mwingine wowote. Wagonjwa wengi wenye UKIMWI katika sehemu nyingi za afrika magharibi wameripoti kuongezeka kiasi kikubwa cha kinga yao ya mwili baada ya kutumia unga wa mlonge kiasi cha kutokuhitaji dawa.

NGUVU, UMAKINI, NGOZI YENYE KUPENDEZA, KUTOZEEKA MAPEMA NA KUPUNGUZA UZITO:
Mlonge una viinilishe mhimu vinavyosaidia kuuongezea uwezo mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Vitamini, madini na homoni mhimu zilizomo kwenye mti huu huufanya mwili wako kuwa na usawa unaohitajika kiafya na hivyo kukupa kinga dhidi ya magonjwa mengi bila idadi.
Mlonge una kiinilishe mhimu sana kwa wingi kuliko mmea au mti mwingine wowote duniani mara maelfu kadhaa kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘Zeatin’. Zeatin ndiyo hutengeneza seli mpya za ngozi pia huzifanya seli mpya kutengenezwa kwa haraka na kwa wingi zaidi ya zile seli zinazokufa. Hii huleta matokeo mazuri ikiwemo kuondoa mikunjo ya ngozi au ngozi kuzeeka sehemu za uso na sehemu nyingine za mwili na kukupa afya nzuri ya ngozi.
Kwenye mlonge kuna ‘Sulfur’, hii sulfur ni mhimu katika kuunda vitu mhimu kwenye ngozi kama collagen na keratin huku viuaji au viondowaji sumu zaidi ya 30 vinavyopatikana kwenye mlonge ni mhimu kwa ajili ya afya ya ngozi yako.
Mlonge ambao umekuwa ukitumika kwenye vituo vingi vinavyojihusisha na kupunguza uzito huwa una nguvu ya asili ya kupunguza njaa, huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kukung’arisha wewe huku ukikuacha na virutubishi vingi mhimu zaidi.

HUIRUDISHA UPYA AFYA YA MWILI WAKO;
Baada ya kufikisha umri wa miaka 30 hivi nguvu zako za mwili huanza kushuka. Mwili wako utaanza kuleta mchonyoto. Utaona unaanza kupoteza umakini nyakati za mchana sababu hukuzingatia nini ule wakati ulipokuwa kijana. Baadhi ya kuharibika kwa afya hakuwezi kurudishwa nyuma ikiwa ni pamoja na kuzorota kwa afya ya meno.

Kwa maelezo zaidi jinsi ya kupata unga huu piga simu
0788 709 506