Mbegu za mlonge hupatikana kwenye mti wa mlonge, hutumika pale mbegu zinapokomaa
vilevile kuna baadhi ya jamii bara la Asia hutumia mbegu za mlonge mbichi kama chakula. nimewahi kuzungumzia faida za majani ya mti huu wa ajabu kwa kirefu sana kuwa una virutubisho vingi kama
- Mlonge una protini mara 2 ya Yogurt
- Mlonge una vitamin A mara 4 ya Karoti
- Mlonge una potassium mara 3 ya Ndizi
- Mlonge una calcium mara 4 ya Maziwa
- Mlonge una vitamin C mara 7 ya Chungwa
Hivyo ni virurubisho vipatikanavyo kwenye majani ya mlonge nimeelezea faida zake kwa upana sana kwenye post iliyopita ila LEO nataka tuzungumzie faida za mbegu za mlonge hasahasa kwenye unga wake sababu saa nyingine inawapa ugumu watu kutafuna mbegu hizo lakini sisi tumezisaga vizuri na kuwa kwenye mfumo wa unga.
FAIDA ZA 10 ZA UNGA WA MBEGU ZA MLONGE
1.Utajiri mkubwa wa madini chuma(Iron)Madini chuma ni madini muhimu sana katika uzalishaji wa damu mwilini na vilevile madini haya husaidia usafirishaji wa damu kwenda kwenye mifupa, viungo na organ mbalimbali za mwili. Mbegu za mlonge zina madini chuma mara 3 ya mboga za majani(spinach), ukosefu wa madini haya huleta tatizo la uchovu kupita kiasi na kupumua kwa shida
8. Huondoa mafuta mabaya mwilini (cholesterol)
Mbegu za mlonge huondoa mafuta mwilini na kupunguza uzito wa mwili kwa kiasi kikubwa sana, kula kijiko kimoja kidogo cha chai kila asubuhi kila siku utaona matokeo yake mapema sana
9. Mbegu za mlonge huondoa sumu mwilini (antioxidants)
Wanasayansi wa tiba za binadamu wamethibitisha mbegu za mlonge kwa kiasi kikubwa huondoa sumu mwilini kutokana na mbegu hizi kuwa na Vitamins A, B-complex na C na virutubisho vingine vingi ambavyo kwa pamoja huondoa sumu mwilini kwa binadamu
10. Huimarisha na kukinga afya ya ngozi
Mbegu za mlonge zina mafuta ambayo husaidia katika utunzaji wa ngozi na kukukinga dhidi ya maradhi ya ngozi
Hizo ni faida za Mbegu za mlonge katika maisha yetu ya kila siku,Unga wa mbegu za mlonge unapatikana kwa Dar es Salaam na pia mkoani tunatuma
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba
0788 709 506
No comments:
Post a Comment